emely kd
Member
- Apr 10, 2017
- 97
- 97
Only the wise will understand, ukiona hii game si yako unatulia pembeni broMnaobishana hapa mnabishana ujinga,haya ni mambo ya kenya,nyinyi mnaleta mambo ya bla bla bla za Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only the wise will understand, ukiona hii game si yako unatulia pembeni broMnaobishana hapa mnabishana ujinga,haya ni mambo ya kenya,nyinyi mnaleta mambo ya bla bla bla za Tz
Kwani siku hizi kwenye mahusiano lazima uonyeshe cheti cha kuzaliwa?
Kama huyo dogo alidanganya umri je?
Mi mwenyewe ni victim wa kubakwa na mwanamke[emoji17][emoji17] hashitag USTOO.Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Ni kosa but si kila kosa la namna km hyo ni rape
Mahakama haizingatii mlivyodanganyana hadi kufikia hapo, wao wanaangalia mambo ya kisayansi, kwamba huyo dogo ni chini ya umri, tosha.
Nimewahi kumgegeda demu wa 17 kitambo, mwili wake ungedhani ana umri wa miaka 30, yaani niliogopa sana kuja kugundua ni chini ya umri na ningefungwa jela.
Kudanganywa kwaweza kuwa defence. Bora ulete ushahidi kuwa ulidanganywa. Hahaha..ila kwa hayo ya mahusiano na mtoto wa miaka 17, chunga usije kuwa Jaji Mkuu kisha wakuletee upuuzi wa Brett Kavanaugh
Wanawake wabakaji wako maeneo gani niwe napita pita hapo maana huwa sina bahati ya kubakwa nao.
Hivi demu anaweza kukushtaki kwa kumla kabang?Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.
Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngono iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .
Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
Nilitaka kusema hivo hivo!Huyu mbakaji wa kike bila shaka atakuwa ni Miss Natafuta kwa sababu nyege hazina adabu![emoji38][emoji38][emoji38]
Njoo Mwananyamala kwa wahaya!Wanawake wabakaji wako maeneo gani niwe napita pita hapo maana huwa sina bahati ya kubakwa nao.
Hii ya kudanganya nadhani ilimbeba Karim Benzema Ktk kesi na kabint alikaokota club!Kudanganywa kwaweza kuwa defence. Bora ulete ushahidi kuwa ulidanganywa. Hahaha..ila kwa hayo ya mahusiano na mtoto wa miaka 17, chunga usije kuwa Jaji Mkuu kisha wakuletee upuuzi wa Brett Kavanaugh
Ingredient of rape
Judith Khayosa Wandera aliyehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kumbaka kijana wa kiume wa miaka 16 amepinga hukumu hiyo
- Amemlaumu Jaji wa kesi hiyo kuwa hakuuelewa ushahidi wa kesi hiyo. Ameeleza kuwa hakuna na hatia katika kesi hiyo lakini bado amehukumiwa
- Mwanamke huyo amekata rufaa kwa kueleza kuwa walikuwa na mahusiano na kijana huyo na ni dereva wa bodaboda
======
Judith Khayosa Wandera, the woman jailed for 15 years for defiling a 16-year-old boy, has accused the trial judge of misunderstanding evidence.
Ms Wandera on Wednesday appealed against the entire judgement by principal magistrate Joan Wambilianga, saying she erred in law and fact in convicting her.
She was found guilty of defilement and intentionally performing an indecent act with a minor. She said an "innocent affair" earned her many years in jail.
Ms Wandera filed the appeal at the High Court in Kisumu through lawyer Bruce Odeny, who said the sentence was not backed by sufficient proof and that "irrelevant" factors were considered.
“Ms Wambilianga disregarded the statutory defence mounted by the appellant,” state the court records seen by the Nation.
“The learned magistrate generally misconstrued the law on un-pleaded issues and on evidence emanating in the course of trial."
The accused wants the appeal allowed and the May 23 conviction and sentence set aside, and substituted with an acquittal.
Social media users had varied reactions to the judgement. Questions included why the minor was not punished, whether he qualifies as one since he is a boda-boda rider and if this is a case of defilement if they had been in a relationship.
Others called for a review of the age group for adulthood while some said the court should have been lenient since Ms Wandera admitted to having the affair.
The court said there was proof that the boy’s parents warned Ms Wandera. Judge Fred Ochieng said the case will be mentioned today.
Source: Daily Nation
Ndo maana napenda wanasheria kwa Kwel huwez ongea bila authoritiesHuu uzi mzuri watu wanabishana kwa vipengele vya sheria na sio bla bla bla tu
Na walio mpga mateke na vibao nmeskia wamepewa mamlaka makuu sanaHiyo yako tusubiri mpaka 2050 maana kama mwandishi mwenyewe wa hiyo rasimu watu walimpiga
Wewe kama mwanaume wa miaka 18 na kuendelea ukifanya mapenzi na msichana wa miaka 16 kwa hiyari yake lakini kwa kushawishiwa kwa kitu au kwa kutishwa hautakutwa na hatia ya ubakaji?Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Labda kama sheria za Kenya zmeeleza ila hapa kwetu tuna ingredient za rape ka mbili ya kwanza 1)bila makubaliqnoKwanza kitendo tu cha kushiriki ngono na mtu ambaye sheria inamdefine kama minor tayari ni kosa kisheria...
Njoo Mwananyamala kwa wahaya!