Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Kwani siku hizi kwenye mahusiano lazima uonyeshe cheti cha kuzaliwa?
Kama huyo dogo alidanganya umri je?

Mahakama haizingatii mlivyodanganyana hadi kufikia hapo, wao wanaangalia mambo ya kisayansi, kwamba huyo dogo ni chini ya umri, tosha.
Nimewahi kumgegeda demu wa 17 kitambo, mwili wake ungedhani ana umri wa miaka 30, yaani niliogopa sana kuja kugundua ni chini ya umri na ningefungwa jela.
 
Ni kosa but si kila kosa la namna km hyo ni rape

Hilo ni Kosa la defilement (Kunajisi) wala si Rape (Kubaka) . Ila wakati mwingine defilement hujulikana kama Statutory Rape

Linapatikana katika sheria inayoitwa Sexual Offences act (2006)

 

Kudanganywa kwaweza kuwa defence. Bora ulete ushahidi kuwa ulidanganywa. Hahaha..ila kwa hayo ya mahusiano na mtoto wa miaka 17, chunga usije kuwa Jaji Mkuu kisha wakuletee upuuzi wa Brett Kavanaugh
 
Kudanganywa kwaweza kuwa defence. Bora ulete ushahidi kuwa ulidanganywa. Hahaha..ila kwa hayo ya mahusiano na mtoto wa miaka 17, chunga usije kuwa Jaji Mkuu kisha wakuletee upuuzi wa Brett Kavanaugh

Hilo haliwezi kutendeka hapa, na ikitokea siku tuanze hizo pumba za Ulaya basi hakuna hata mmoja wetu atastahili kuwa kiongozi, hawa wote wa sasa kila mmoja kiaina anayo kashfa, japo nyingi huwa zimezimwa kimya kimya.
 
Huyo mdada kakaa vuzuri kumkunja, bodaboda atakuwa alifaidi sana.
 
Hata mimi mkuu wakikuambia nitag nitashukuru sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wanawake wabakaji wako maeneo gani niwe napita pita hapo maana huwa sina bahati ya kubakwa nao.
 
Hivi demu anaweza kukushtaki kwa kumla kabang?
 
Dada zetu mnaokwenda Kenya muwe simile!
 
Kudanganywa kwaweza kuwa defence. Bora ulete ushahidi kuwa ulidanganywa. Hahaha..ila kwa hayo ya mahusiano na mtoto wa miaka 17, chunga usije kuwa Jaji Mkuu kisha wakuletee upuuzi wa Brett Kavanaugh
Hii ya kudanganya nadhani ilimbeba Karim Benzema Ktk kesi na kabint alikaokota club!
 
Ingredient of rape
 
Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Wewe kama mwanaume wa miaka 18 na kuendelea ukifanya mapenzi na msichana wa miaka 16 kwa hiyari yake lakini kwa kushawishiwa kwa kitu au kwa kutishwa hautakutwa na hatia ya ubakaji?
 
Kwanza kitendo tu cha kushiriki ngono na mtu ambaye sheria inamdefine kama minor tayari ni kosa kisheria...
Labda kama sheria za Kenya zmeeleza ila hapa kwetu tuna ingredient za rape ka mbili ya kwanza 1)bila makubaliqno
2)na kupenya/kuingia kwa uume .hata kugusa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…