Mwanamke aliyekuwa akimlisha mtoto kinyesi ahukumiwa maisha

Mwanamke aliyekuwa akimlisha mtoto kinyesi ahukumiwa maisha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Breaking news kutoka MBEYA: Mwanamke aliyekuwa akimlisha mtoto kinyesi ahukumiwa kifungo cha maisha






164490_574272925933555_1268022135_n.jpg
 
Alikuw anamlisha kinyesi cha nani?, je huyo mtoto ni mwanae au?
 
hivi walimpima akili kweli duh mtoto yule mpaka akakatwa mkono? kweli dunia hadaa
 
Safi kabisa na liwe fundisho kwa wenye tabia kama zake.
Na wale walimsulubu Dr Ulimboka na waliomuua mwangosi nao wanastahili kifungo kama hiki!
 
Mhhhhhh!!! Haki ya Mungu maajabu sana haya mtoto akiomba chakula unachuta ATM yako inatema mzigo kisha unampa mtot ale. Hata kwa huku hiyo DHAMBI IKO PALE PALE
 
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.Source: MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA - Global Publishers
 
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.


Source: MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA - Global Publishers
 
Back
Top Bottom