Mwanamke aliyetayari kuolewa

Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Uzee ukale na bint. Jiandae kisaikolojia .
Papuch ya mtoto inataka moto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi malkia wa nyuki weeee!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]occupied
Aaaah!!
Haya bhana, bas vzuri kama ni hivo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pesa?!!ndo mapenziii
Me Sijui Mapenzi kabisa maana nikiwa sina pesa hata siwatamanigi... Na Nikiwa Nazo huwa hata sipati shida na asikuambie mtu bila pesa hata iwe Ndoa itaenda down na utachapiwa tu
 
Ni kweli niko serious!
We nawewe Nenda Mtandao wa Badoo utawakuta wanakusubiri... Humu wengi wana watu wao... Me Mwenyewe siwanii Demu humu... Kitaani kwetu kuna Mademu kama 20 hivi wanavizia wanaume balaa na karibu wote wamezaa ila ndio wanazungukana tu akihamia mgeni wananifanya nitoke asubuhi mapema na kurejea mida ya night kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…