hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Uzee ukale na bint. Jiandae kisaikolojia .Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Papuch ya mtoto inataka moto.