Mwanamke aliyetayari kwa ndoa

Mwanamke aliyetayari kwa ndoa

saman

Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19
Reaction score
0
MM NI mwajiriwa serikalini umri ni 38 natafuta mke aliyetayari kuishi na mwanaume awe mrefu,mkristo,mnene miaka 25- 38 kwa wanaoishi DAR TU
 
Naomba chance plz vigezo vyote nnavyo nitahamia dar!!!!!!!!
 
MM NI mwajiriwa serikalini umri ni 38 natafuta mke aliyetayari kuishi na mwanaume awe mrefu,mkristo,mnene miaka 25- 38 kwa wanaoishi DAR TU
thread nyingi za kutafuta wanawake kigezo cha unene hakikosi. Siku hizi unene ni dili. Kila la heri mtafutaji hope utampata
 
thread nyingi za kutafuta wanawake kigezo cha unene hakikosi. Siku hizi unene ni dili. Kila la heri mtafutaji hope utampata

...baadaye lishe ikiwa duni..., anatafuta mwingine...
 
kama upo seriou nitumie namba yako tuwasiliane
 
kuwa makini kaka matapeli ni wengi mno hapa,lakini lililo la msingi mtangulize Mungu aakupe kilicho chema,hata hivo usikae na kusubiri sana wakuPM,na wewe chukua hatu ya kuperuzi peruzi thread za nyuma kuna wadada wengi waliotuma maombi unaweza kuwaulizia huenda Mungu akawa upande wako na ukapata.

Good lucky.
 
MM NI mwajiriwa serikalini umri ni 38 natafuta mke aliyetayari kuishi na mwanaume awe mrefu,mkristo,mnene miaka 25- 38 kwa wanaoishi DAR TU

Hi, mimi pia ni mwajiriwa serikalini, naishi Dar ni mkristo, mweusi, mnene kiasi, sio mref wala mfup sn niko size ya kati na nna miaka 35. I need a husband seriously.
 
nitumie namba ya simu mm niko uwanja wa ndege wew unakaa wapi hapa Dar
 
Hi mimi ni mweupe,figure no nane,kaziyangu ni police jamii ninatii sheria zote za ndoa bila shuruti naomba jamani ufunge ndoa mwisho wa mwezi huu wa nane
 
Back
Top Bottom