Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uende na usirudi.Mie napitaaaa
Huna uhakika na unachokiongea. Ukiona kitu hukielewi uliza au pita kimyaFoleni ya ubuyu hiyo
Ulipata?
Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie.Ulipata?
Haha!duhBado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie.
Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda.
Teh!
Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto.Nahitaji nikuzalie mtoto unilipe tusijuane tena. Kama uko tayari ni Pm
Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto.
Yawezekana alikuwa anataniaRudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto.
Karibu.Mimi nasubiri jibu pm
Mengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikanaYangu nayatafakari kila kukicha sijamaliza itakua ya huyo asiejulikana?
Basi sawaMengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikana