Kama kawaida yako mzee wa first commentumeshaharibu mwanafunzi wa watu nini?? huo msongo wa mawazo vipi
Maelezo mengine yapo vizuri, ila kwenye shoo Kali nina mashaka.Anapata ujauzito tena vizur as long as yuko kwenye siku zake kikubwa wewe uwe na uwezo wa kumpa mimba kwa shoo kalii
Habari wadau,
Hivi inawezekana binti akashika ujauzito siku ya kwanza ya kutoka bikra yake??
Nawaza kwa sauti na msongo wa mawazo pia.
Hiyo reply apo juu kwa ajili yako nilisahau kuquote[emoji115] [emoji115] [emoji115]Maelezo mengine yapo vizuri, ila kwenye shoo Kali nina mashaka.
Nieleweshe shoo Kali inahusikaje na utungishaji mimba?
HahahahahhhKondom kwenye bikra kaka[emoji15] [emoji72]
Huo ni ukiukwaji wa haki za binadam[emoji56] [emoji276]
Haya ila show Kali siyo. Kwa ninavyoielewa.Namaanisha kuweza kuejaculate 'kupizi' semen yenye mbegu zilizokomaa coz kwa mwanamke hakuna tatizo sababu hata km ni bikra lakini anaingia kwny siku zake so yai lipo kusubiri mbegu za kidume kwa ajili ya urutubishaji kupata zygote unaweza kukaa kumbe unatoa large volume ya pizi lenye mbegu zilizo immature