Mwanamke aliyetolewa bikra anaweza kushika mimba siku hiyo hiyo

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
669
Reaction score
846
Habari wadau,

Hivi inawezekana binti akashika ujauzito siku ya kwanza ya kutoka bikra yake??

Nawaza kwa sauti na msongo wa mawazo pia.
 
umeshaharibu mwanafunzi wa watu nini?? huo msongo wa mawazo vipi
 
Ha ha ha amekudanganya huyo alishapigwa "brush" alipigwa katerero [emoji23][emoji23] akamiminiwa kama unabisha atakuambia alisikia joto kwa mbali....!!
 
[emoji23] [emoji23]
we ni sugu kiongozi
 
Ahaa ndo yule nilikutana nae road maeneo ya mkoa fulani ivi akiwa anachechemea na gauni Lake lile namuuliza vip akasema nimetoka kwa rafiki yangu ndo kaniumiza mguu nikamwambia pole...
 
Anapata ujauzito tena vizur as long as yuko kwenye siku zake kikubwa wewe uwe na uwezo wa kumpa mimba kwa shoo kalii
Maelezo mengine yapo vizuri, ila kwenye shoo Kali nina mashaka.
Nieleweshe shoo Kali inahusikaje na utungishaji mimba?
 
Habari wadau,

Hivi inawezekana binti akashika ujauzito siku ya kwanza ya kutoka bikra yake??

Nawaza kwa sauti na msongo wa mawazo pia.

Pole mkuu,jiandae kua dad manake inawezekana sana tu kupata mimba

Ila nimecheka!
 
Namaanisha kuweza kuejaculate 'kupizi' semen yenye mbegu zilizokomaa coz kwa mwanamke hakuna tatizo sababu hata km ni bikra lakini anaingia kwny siku zake so yai lipo kusubiri mbegu za kidume kwa ajili ya urutubishaji kupata zygote unaweza kukaa kumbe unatoa large volume ya pizi lenye mbegu zilizo immature
 
Maelezo mengine yapo vizuri, ila kwenye shoo Kali nina mashaka.
Nieleweshe shoo Kali inahusikaje na utungishaji mimba?
Hiyo reply apo juu kwa ajili yako nilisahau kuquote[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Hapana,hawezi kushika mimba siku ya kwanza,Kama ulimtoa bikra say Leo SAA 12 jioni,basi atashika kesho yake SAA 9 na dakika Kama 25 hivi,
 
Namaanisha kuweza kuejaculate 'kupizi' semen yenye mbegu zilizokomaa coz kwa mwanamke hakuna tatizo sababu hata km ni bikra lakini anaingia kwny siku zake so yai lipo kusubiri mbegu za kidume kwa ajili ya urutubishaji kupata zygote unaweza kukaa kumbe unatoa large volume ya pizi lenye mbegu zilizo immature
Haya ila show Kali siyo. Kwa ninavyoielewa.
 
Back
Top Bottom