Mwanamke aliyezalishwa na Ney wa Mitego kisha kutelekezwa amlilia Diamond Platnumz

Mwanamke aliyezalishwa na Ney wa Mitego kisha kutelekezwa amlilia Diamond Platnumz

huyu dada naye sijui anamtindio wa ubongo! anapenda sana kujiliza insta...
kila mtu anashida zake bwana sasa kila aliye na matatizo angejirecod na kupost insta pangekalika kweli?
kwanza hivi unaanzaje kulia huku unajirecod?
Roll the tape.... Action!
 
Mm nimeiona hiyo video nkajiuliza ni kiki, amekuwa mvivu wa kufanya kazi au kweli shida zimembana
 
kumbe huyu ndo aloimba ule wimbo KAJA MWENYEWE
aombe tu mtaji wa biashara..mziki awaachie akina shilole
hatumii akili..
 
Leteni ugali plain maana mwana ame rost...............aaaah
 
Embu na yeye ajielewe kama blaza ney atoi matunzo si bora aende ustawi wa jamii kuliko kujiliza ovyo kwe mitandao.mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sent from my HUAWEI G730-T00 using JamiiForums mobile app
Huyu Dada anaboa alienda kwa Ney,Ney akamwambia ampe mtoto amlee mwenyewe kakataa anasema mwanawe hawezi kuchanganywa na watoto wengine wa Ney.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom