Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Roll the tape.... Action!huyu dada naye sijui anamtindio wa ubongo! anapenda sana kujiliza insta...
kila mtu anashida zake bwana sasa kila aliye na matatizo angejirecod na kupost insta pangekalika kweli?
kwanza hivi unaanzaje kulia huku unajirecod?
Huyu Dada anaboa alienda kwa Ney,Ney akamwambia ampe mtoto amlee mwenyewe kakataa anasema mwanawe hawezi kuchanganywa na watoto wengine wa Ney.Embu na yeye ajielewe kama blaza ney atoi matunzo si bora aende ustawi wa jamii kuliko kujiliza ovyo kwe mitandao.mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sent from my HUAWEI G730-T00 using JamiiForums mobile app