barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nadhani ulimaanisha "USIZAE"Mamangu watoto wote watatu ni upasuaji , dadangu watoto wote wawili ni upasuaji , rafiki wa dadangu nui hivyo hivyo watu wanasema kama mtu ukifanyiwa upasuaji kwaajili ya maswala ya uzazi hata mtoto wa pili na watatu ni hivyo hivyo na ushauri uzae zaidi ya watatu
na iwe hivyo AminaMtoto wangu wa kwanza now seven years alizaliwa Kwan njia ha operation, miaka mitatu baadae tukajaliwa mtoto wa pili na wife alijifungua kawaida tu.
Usiogope mkuu inawezekana bila Shida.
Yaani nilitaka kuandika asizae zaidi ya watatu asante kwa marekebishoNadhani ulimaanisha "USIZAE"
Sawa Dokta...Yaani nilitaka kuandika asizae zaidi ya watatu asante kwa marekebisho
Nashukuru, ila sababu ya kujifungua kwa mkasi raundi ya kwanza ilikuwa ni nini? Na kilifanyika nini mpaka raundi ya pili ikawa ya kawaida?Mtoto wangu wa kwanza now seven years alizaliwa Kwan njia ha operation, miaka mitatu baadae tukajaliwa mtoto wa pili na wife alijifungua kawaida tu.
Usiogope mkuu inawezekana bila Shida.
Raundi ya kwanza walidai ana nyonga ndogo, yeye alikuwa na miaka 19 na imepita miaka minne na nusu sasa, sijui kama raundi hii atakuwa poa!pole sana. Kama tatizo ni la kimaumbile kwa mama ni lazima na wengine wazaliwe kwa kisu. Na anaweza kuzaa hadi mara nne. ila kama shida ni uchungu pingamizi, ukubwa wa mtoto, mlalo wa mtoto na yafananayo na hayo, anaweza kujifungua kawaida uzazi unaofuata ila ni lazima watoto wapishane kiasi cha kutosha.
Je sababu ya hizo operations ni nini? Yaani kwa nini hawakujifungua kwa njia za asili?Mamangu watoto wote watatu ni upasuaji , dadangu watoto wote wawili ni upasuaji , rafiki wa dadangu nui hivyo hivyo watu wanasema kama mtu ukifanyiwa upasuaji kwaajili ya maswala ya uzazi hata mtoto wa pili na watatu ni hivyo hivyo na ushauri uzae zaidi ya watatu
Nyonga ndogo alijifungua akiwa na miaka 23 mtoto wa kwanzaJe sababu ya hizo operations ni nini? Yaani kwa nini hawakujifungua kwa njia za asili?