mamafive
Senior Member
- Jan 17, 2016
- 122
- 141
nyonga ndogo haisababishwi na umri ni maumbile tu. kuna watoto wa miaka 15 hujifungua kawaida. Hata mtoto anayefuata atajifungua kwa kisu. Akijaribu kujifungua kawaida ni hatari kwa mama na mtotoRaundi ya kwanza walidai ana nyonga ndogo, yeye alikuwa na miaka 19 na imepita miaka minne na nusu sasa, sijui kama raundi hii atakuwa poa!