mamafive Senior Member Joined Jan 17, 2016 Posts 122 Reaction score 141 Feb 27, 2016 #21 barafuyamoto said: Raundi ya kwanza walidai ana nyonga ndogo, yeye alikuwa na miaka 19 na imepita miaka minne na nusu sasa, sijui kama raundi hii atakuwa poa! Click to expand... nyonga ndogo haisababishwi na umri ni maumbile tu. kuna watoto wa miaka 15 hujifungua kawaida. Hata mtoto anayefuata atajifungua kwa kisu. Akijaribu kujifungua kawaida ni hatari kwa mama na mtoto
barafuyamoto said: Raundi ya kwanza walidai ana nyonga ndogo, yeye alikuwa na miaka 19 na imepita miaka minne na nusu sasa, sijui kama raundi hii atakuwa poa! Click to expand... nyonga ndogo haisababishwi na umri ni maumbile tu. kuna watoto wa miaka 15 hujifungua kawaida. Hata mtoto anayefuata atajifungua kwa kisu. Akijaribu kujifungua kawaida ni hatari kwa mama na mtoto
Princess21 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 272 Reaction score 266 Jul 20, 2016 #22 Una muuliza nani sasa, si umzalishe mkeo
love you JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 727 Reaction score 728 Jul 20, 2016 #23 Inategemea na shida iliyo sababisha ufanyiwe operation isipo jirudia utajifungua kawaida nna mifano miwili ya watu wangu WA karibu
Inategemea na shida iliyo sababisha ufanyiwe operation isipo jirudia utajifungua kawaida nna mifano miwili ya watu wangu WA karibu