Yuko sawa lakini hako katoto angekaacha nyumbani.Saafi. Huo ndio uthubutu jamani. Wacha tu ajitafutie huenda naye akafanikiwa.
Japokuwa naona kama bado ana kazi nzito mpaka aweze kufanikiwa anachokihitaji.
Yaani umepatia sana mkuu! Umejuaje?Mmmmmmmhh.
Aiseeeeh. Utakuwa wa mkoa wa Mara wewe !
Nadhani lengo lake kwamba kwa anayetaka kumuoa ajue kabisa ana mzigo wake ambao hawezi kuuacha.Yuko sawa lakini hako katoto angekaacha nyumbani.