Ndio, nakubaliana na huyu dada kabisa, mficha uchi.....?
Humu wasichana wanaweka matangazo bila picha wala namba ya simu! Utapataje mume bila kujiweka wazi na kuonekana umedhamiria kupata mume?!
Hongera zake huyu dada na atapata mapema sana..
Mwanamke atinga mitaani kutafuta mwanamume wa kumuoa
Mwanamke angia mitaani kumtafuta mwanamume wa kumuoa Nairobi
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.
Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.
"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe- kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 28, Pris Nyabura, amebeba bango linalosema: “Nahitaji mume, nina mtoto wa kike wa miaka saba.”
Mwandishi wetu Robert Kiptoo amejaribu kumpigia simu ili kupata taarifa zaidi, lakini simu yake iko “bize”….
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.