Mwanamke ana uwezo wa kutoa talaka?

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
3,713
Reaction score
1,265
Asalaama Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.

Wana Jamvi, hivi ndoa ya Kiislam inaruhusu mwanamke kutoa talaka pale mwanaume anaposhindwa kufanya hivyo? Kama ni kweli ni hatua gani zichukuliwe ili kukabiliana na hili swala?

Asante sana kwa ushirikiano wenu.

CD
 
Reactions: Mbu


Hapo nimefungwa mdomo kwa sababu katika hilo (red ni kilaza). Ila nashiwishika kuamini kwamba inawezekana. Ngoja wataalamu wa sheria (katika dini ya kiislamu) waje watueleze.
 
Asante sana Mdau naona watu huku hawaji, itabidi niipeleke kule kwenye mapenzi watawahi kujibu kuliko hapa. Ubarikiwe sana.
CD
 
usikate tamaa Carlorine hapa sheria zinachambuliwa vilivyo namini muda kitambo utapata majibu kwa wanasheria tena waislam, subira njema
 
Caroline, Waweza kufaidika kwa kusoma hapa...


Sheria ni ya ki-Islamu ikihusisha vifungu vya Imani ya madhehebu ya Shia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…