Mwanamke anachukua Muda gani kupata mimba Maana miezi miwili hakuna kitu

Mwanamke anachukua Muda gani kupata mimba Maana miezi miwili hakuna kitu

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
361
Reaction score
125
Naomba msaada juu ya hili waungwana asanteni
 
Siku ya mimba kuingia haijulikani. Inaweza ikawahi au kuchelewa.
 
du...miezi miwili tu unaanza kuhangaika...wakati mwingine huchukua miaka....
 
Asanteni wadau ndo maana nkauliza kupata uhakika maana elimu hii sina
 
Kwanza ujue mzunguko wake anapevusha mayai lini

Je ni kweli mayai yanapevuka

Je mirija ipo sawa haijaziba

Hana fibroid

Je mwanaume una sperm za kutosha kutungisha mimba

Quality ya sperm zako ikoje? Motility nk
 
Miezi miwili ni mapema sana kuwa na hofu hasa ktk suala lako... lakini kama huliziki na hali hiyo njoo inbox.
 
mi nimecheza game na wife mwezi wa sita bila mafanikio. Juzi ndo nimeenda hosp kufanya vipimo vyote viko ok ishu ni mirija iliziba kipimo kinauma hatari wamezibua so na wait wife ameanza bleed leo akimaliza tu wamenambia nianze kazi tuone kama itaingia au lah
 
Step nieleweshe vizuri kuziba kivipi nieleweshe
 
!
!
huchukua nusu dakika au chini ya hapo au hata zaidi ya chini iwapo umem&$mba at the right time..........kama siyo utakesha
 
Ila kwa michepuko zinaingiaga haraka sana....

Jaribuni kuiba na pembeni muone maajabu... teh
 
mi nimecheza game na wife mwezi wa sita bila mafanikio. Juzi ndo nimeenda hosp kufanya vipimo vyote viko ok ishu ni mirija iliziba kipimo kinauma hatari wamezibua so na wait wife ameanza bleed leo akimaliza tu wamenambia nianze kazi tuone kama itaingia au lah

Mkuu mirija iliyoziba ni yako au ya wife...?
 
Back
Top Bottom