Mwanamke anafikia MENOPAUSE na uzuri wake anakosa hamu ya kufanya mapenzi?

Mwanamke anafikia MENOPAUSE na uzuri wake anakosa hamu ya kufanya mapenzi?

Jitu Refu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
823
Reaction score
811
Ebu nisaidieni jamani kunielewesha hapa,wataalamu wanasema mwanamke anapofikia MENOPAUSE anapofanya tendo la ndoa hahisi raha kabisa au anahisi raha kidogo?,wanasema wanawake wengi MENOPAUSE huanza kati ya miaka 45-55 sasa huwa najiuliza kama mwanamke akifikisha umri huo hasihi raha ya tendo la ndoa,mbona kuna wanawake wakubwa mtaani wanamiaka zaidi ya 50 lakini bado wanapenda sana kufanya tendo la ndoa,inakuwaje hii?
 
huo ni utafiti wa kizamani ,tulifundishwa pia binti anavunja ungo na miaka 12 kuendelea sasa hivi mtoto yupo la pili na anavuja .
 
Mi najua mwanamke akifika menopause tendo la ndoa anashriki kama kawaida,sema tu anasimama kuziona siku zake..hali inayopelekea kutoahika mimba,hali ya kutohisi raha wakt wa tendo itategemeana sana na viungo vyake kwa maana ya mishipa imelegea kwa kias gani...kama anakula vizur na mishipa bado iko imara anaenjoy kama kawaida
 
Et eee,
 
Back
Top Bottom