Jitu Refu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 823
- 811
Ebu nisaidieni jamani kunielewesha hapa,wataalamu wanasema mwanamke anapofikia MENOPAUSE anapofanya tendo la ndoa hahisi raha kabisa au anahisi raha kidogo?,wanasema wanawake wengi MENOPAUSE huanza kati ya miaka 45-55 sasa huwa najiuliza kama mwanamke akifikisha umri huo hasihi raha ya tendo la ndoa,mbona kuna wanawake wakubwa mtaani wanamiaka zaidi ya 50 lakini bado wanapenda sana kufanya tendo la ndoa,inakuwaje hii?