Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #121
Asili ya Mungu haikwepeki na sio nimeunganisha na siasa na dini ndio ukweli. Biden aliamua kumpa usaidizi Kamala na sasa Biden huyo huyo yupo hoi kiafya.
JPM aliamua kumpa usaidizi Samia na kwa bahati mbaya akawa na betri moyoni mwake, akashindwa kufika 2025, kama sio asili ya Mungu tunaweza kuuitaje urais wa Samia?.
Kwa bahati tu Kamala anaweza kuwa Rais wa USA sawa na bahati ilivyomuangukia SSH hapa Tanzania.
Wa kugombea na Samia wanazidi kupungua kwa namna anavyofanya kazi ya maana huko mikoani kwa kipindi cha miaka mitatu aliyochukua kijiti kutoka kwa RIP Magufuli.
Mkûu dunia ya Leo Watu wengi hawaamini kuhusu Mungu.
Pili, hata wanaoamini kuhusu Mungu wanajua kuwa huyohuyo Mungu alitoa Uhuru wa Watu kujichagulia Maisha wayatakayo.
Ndîo maana unaona Mungu haingilii Kesi nyingi zinazoendelea Duniani