Pre GE2025 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asili ya Mungu haikwepeki na sio nimeunganisha na siasa na dini ndio ukweli. Biden aliamua kumpa usaidizi Kamala na sasa Biden huyo huyo yupo hoi kiafya.

JPM aliamua kumpa usaidizi Samia na kwa bahati mbaya akawa na betri moyoni mwake, akashindwa kufika 2025, kama sio asili ya Mungu tunaweza kuuitaje urais wa Samia?.

Kwa bahati tu Kamala anaweza kuwa Rais wa USA sawa na bahati ilivyomuangukia SSH hapa Tanzania.

Wa kugombea na Samia wanazidi kupungua kwa namna anavyofanya kazi ya maana huko mikoani kwa kipindi cha miaka mitatu aliyochukua kijiti kutoka kwa RIP Magufuli.

Mkûu dunia ya Leo Watu wengi hawaamini kuhusu Mungu.
Pili, hata wanaoamini kuhusu Mungu wanajua kuwa huyohuyo Mungu alitoa Uhuru wa Watu kujichagulia Maisha wayatakayo.

Ndîo maana unaona Mungu haingilii Kesi nyingi zinazoendelea Duniani
 
Tangu uumbaji mwanamke hakuumbwa kama kiongozi, asili inapinga. ASILI ina nguvu kuliko haki. Ikiwa haki ni sawa, Kwa nini tusigawane Koo Kwa watoto wanaozaliwa?!

Asili(Mungu) haipingi viumbe weñye utashi kujiamulia mambo wanayoyataka wènyewe.

Ukisoma Torati yôte hakuna sehemu yoyote àmbayo Mwanaume amepewa mamlaka ya Kiuongozi dhidi ya Mwanamke,

Tukirudi Edeni,
Mwanamke alipewa Laana ya kutawaliwa na Mwanaume. Lakini hiyo haipo kiasili.

Sheria za Mungu ndîo zinazotawala. Kwamba Mwanamke na Mwanaume wôte lazima Wazifuate Sheria za Mungu. Kidini.

Mwanamke aliambiwa amtii Mumewe Kwa sababu Mume ndiye alikuwa anajukumu la Kumtunza Mkewe Kwa kumpa mahitaji.

Kihaki, Mtu anayekupa Mahitaji na kukulea unatakiwa umtii.
Tunamtii Mungu Kwa sababu ndiye anayetupa mahitaji anayetulea.

Torati inaamrisha Watu kufanya Kazi lakini haitaji jinsia gàni ifanye Kazi. Hivyo hiyo ni Amri Kwa wôte(Wanaume na Wanawake).

Ikiwa Mwanamke atafanya Kazi na Akawa anajihudumia mwenyewe unafikiri atakuwa na wajibu wa kumheshimu mumewe? Kwa jicho la HAKI?

Au Ikiwa MTU anapata huduma Kutoka Kwa waganga wa kienyeji na Mizimu badala ya kupata mahitaji hayo Kwa Mungu aliyemuumba. Unafikiri Mtu huyo anaowajibu wa Kumtii(kumuabudu) Mungu aliyemuumba? Jibu ni hapana. Hawezi kuwa na huo wajibu.

Ndîo maana kûna Sheria Inasema, usiiabudu mîungu mingine Wala kuitumikia. Kwa sababu ukishataka mahitaji Kutoka Kwa mîungu Wengine automatically Mungu aliyekuumba anakosa Mamlaka juu yako. Na wéwe Huwezi kumuabudu.

Halikadhalika, Mkeo akihudumiwa na Mwanaume Mwingine automatically heshima kwako itashuka Kwa sababu Haki haitakuwa juu yako.
 
Mkûu dunia ya Leo Watu wengi hawaamini kuhusu Mungu.
Pili, hata wanaoamini kuhusu Mungu wanajua kuwa huyohuyo Mungu alitoa Uhuru wa Watu kujichagulia Maisha wayatakayo.

Ndîo maana unaona Mungu haingilii Kesi nyingi zinazoendelea Duniani
Huwezi kukwepa uwepo wake wakati ushahidi upo kila mahali. Hakuna aliyejua kuwa Samia mwaka 2021 angekuwa anaapishwa kuwa RaIS wa sita wa JMT.
 
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.

Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.

Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.

Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.

Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake.

Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.

Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?

Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.

Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?

Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.

Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?

Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?

Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili

Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.

Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.

Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.

Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.

Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.

Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.

Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja.

Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.

Mimi Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
What none sense is this? Ngoja nihamie zangu Kandahar kwa wanaume wanak jitambua
 
Mmeshinda na hayo mabundiki,hebu kwanza tumuulize sheikh ubwaubwa nasikia kapewa zawadi ya ndinga.
 
Back
Top Bottom