Pre GE2025 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pambana kaka,unikumbuke ukiteuliwa.
 
Mwambie bi kizi aache kupoteza watoto wa wenyewe - soon tutamsomea albadili msije kitulilia.
Style ya Jiwe aachane nayo kabisa itampeleka shimo la tewa kama mtangulizi wake.
Kuna watu damu zao ni hatari ukiitoa bila hatika itakulilia kila kukicha unakosa amani - unakonda unakufa.

Tunamsema si kwa uanamke wake, uzanzibari wake ama uislamu wake - tunamsema sababu yeye ni Rais wa Tanzania.
 
Wacha tuingie vitani Hawa wa nawake tukiwaachia Kila kitu wataibemenda nchi so waume tujipange tuwadhibiti Kwa mamlaka ya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…