Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Macho yangu hayajawahi danganyaSijui kama avatar haijakuponza mkuu🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho yangu hayajawahi danganyaSijui kama avatar haijakuponza mkuu🤣🤣🤣
Pambana kaka,unikumbuke ukiteuliwa.MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake.
Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja.
Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam