Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.
Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.
Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.
Pichu tubadilishe baada ya muda gani?