Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Hivi vitu vinaendana na hobby ya MTU pia,kubadili pichu na bra ni hobby kama hobby nyingine,mwingine, mfano anaanza nayo tangu anasoma certificate mpka mastaz anadunda nayo tuu,na sio kwamba hana uwezo wa kubadili LA hasha,ni basi tuu....me naona nikujiwekea utaratibu tuu mwenyewe ubadili baada ya muda gani baasi.
 
Kuna ueusi(sugu) unakuwa unatokea karibu na '' konokono" kutokana na uvaaji pichu mara kwa mara huwa siupendi kabisa. Mwanamke avae pichu siku ya kwanza ya kuonana na mpenzi mpya. Baada ya hapo mwache "konokono" ajimwaye mwaye bila mipaka ili abaki na halufu ya asili
 
Vipi ile chupi ya Faiza mke wa sugu nafikiri kile ni kiwango kizuri cha matumizi ya chupi. Nakushauri utumie ile kama bech mark
 
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
12 _4=8/3=2.67 kutokana na hizi namba unatakiwa uwe nazo 9 na kutwa unabadili 3times na kila baada ya 3 months unanunua zingine 9 na zile 9 unachoma moto.
 
Inategemea kama una uwezo nunua dazeni 2 baada ya muda unazitoa unanunua nyingine. Binafsi Napenda sana kuwa nazo nyingi na baada ya muda nzikagua na kuchoma moto ambazo hazinipendezi machoni
 
Hivi vitu vinaendana na hobby ya MTU pia,kubadili pichu na bra ni hobby kama hobby nyingine,mwingine, mfano anaanza nayo tangu anasoma certificate mpka mastaz anadunda nayo tuu,na sio kwamba hana uwezo wa kubadili LA hasha,ni basi tuu....me naona nikujiwekea utaratibu tuu mwenyewe ubadili baada ya muda gani baasi.
Mkuu bra labda zina liwe halijapiga goti. Mwenyewe utatafuta bra kila baada ya miezi sita au mwaka
 
tupasugue sana kwa nini.... huko panaoshwa taratibuuu pasichubuke teh teh
Oohh.. Basi hata pichu sugue taratibuuu hapo makao makuu baada ya kuloweka na sabuni ya unga, i think zitang'aa tu
 
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?

kumbe bado mnavaa vitia joto huko alhaa-sikuizi chupi hazina soko-
 
Back
Top Bottom