Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Siku za kwenda mwezini inakuaje...?
Usiku ama mtu ukishinda nyumbani sawa,vinginevyo muhimu kujitunza jmn
Hahaha siku hizi kuna zile pad za kutumbukiza sijui kama zinahitaji mvae hizo pichu.
 
Mi nadhani nnazo 20+,na kuna aina na aina ya chupi jmn....ikiendana na siku na matukio😛...ama ukimatchisha na bra...au kutegemea na nguo unayovaa
Guess chupi za rangi nyekundu ndo nyingi kwenye iyo idadi ya 20+
 
Kwangu mimi chupi ni starehe pia
Nina chupi zaidi ya 30 zote rangi za kuvutia hakuna chupi nyeusi wala brown
Kwa siku navaa pichu 1-2 siku nikiwa home sivai kabisa napaacha papunge upepo
 
Kwanini zinatoboka makao makuu? Kunatoa ACID?
 
Mbona moja tu inatosha baada ya siku 3 waweza fua mtindo wa pps eneo la Dodoma tu. After all nani anakuona kuwa umebadilisha ukiona hata mkeo ana zaidi moja jua ameanza kutoroka anavaa za shoo
 
Hivi pichu ni zile wanazofaaga wanamziki wa kike wanaocheza cheza? Je ukivaa unavaa na nguo au unatembea nayo peke yake?
 
Pichu Kama shanga,ziko za Aina nyingi, Kwa matumizi tofauti hujafafanua. Ngoja nisaidie, Zile za kunivalia Mimi ili nihamie dodoma kufanya kazi Kwa ufanisi zinatakiwa Ziwe Aina mbalimbali Kwa idadi Kama 15 hivi (zenyewe tu zina Aina tofauti na bei yake sio nzuri, bikini, romantic night dress, flowering &Transparent na nyingine malizia mwenyewe) na hizi unadispose pale zinapoisha fashion yake hata Kama ni Mpya, hizi nazipenda Sana kwani sihitaji hata supu ya pweza unapozivaa, aina ya pili, za kuogelea tunapotoka out ziwe min 3 (tukienda sychells fifth honeymoon yetu usiniaibishe kuogelea na Dela), Aina ya Tatu, Za kila siku,casual, hizi zinatakiwa min Kuwa 10 hivi, Kama budget hairuhusu, na Hapa ndio mtiti upo, unatakiwa kuzidispose baada ya 3 months, maana elastic zake zinakuwa zimeshakufa na Kama kiasilia HQ yako ni always wet, zinakuwa zimeshamaliza matumizi Kama zinakuwa ni cotton 100%, hizi ndio wengine wanavaa mpaka elastic inakuwa Kama kamba ya kuanikia nguo,na rangi yake pale njia panda Kwa mkuu WA mkoa inakuwa brown, Aina to nne, za kupokelea mshahara Kila mwezi hizi MI Sina maelezo Nazo, Aina ya tano, za kutokea kwenye sherehe, Hii category sio lazima, vaa pichu inayofanana na expensive outfit yako. Hizi zinatakiwa kuwa Kama tano hivi.disposal yake nayo inatokana na fashion kuisha. Usishangae Sana, ndio maana Kuna mitumba, pichu sio lazima ichakae ndio udispose.
Najua, mtasema mbona me anajibu, Kula samaki vizuri na Kwa nafasi, kunahitaji kujua viungo na mapishi yake.
 
Vaa mpaka ichoke au uichoke .. chupi kama nguo nyingine tu sema inagusana gusana na utamu
Assuming 50% ya Tanzania ni wanawake na Miezi mitatu chupi 10 zinabadilishwa kwa hiyo ni chupi Milioni 87, Mbona hayo masalia hatuyaoni? Waongo nyie na wachafu nyie
 
Back
Top Bottom