Ngoja nim-PM darling-tone aje amuone kama ana vigezoMdogo wangu anaumri wa miaka 30 anahitaji mwanamke wa kuoa.
Yeye yupo kijijini, hajasoma, mkulima, mfugaji na mfanya biashara.
Kabila lake ni msukuma.
Mahali itatolewa idadi ya ng`ombe 20 wa kutembea.
Basi mwenye nia na hii ofa achangamke.
kuhusu dini yeye hachagui.
Umri 28 - 35
Jina lake Anaitwa Mayunga Ngh`oboko
Kwa mawasiliano zaidi ni PM mimi.
kha, wachaga mko wengi huku?ngastuka .,.machale kundesa