Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Mdogo wangu anaumri wa miaka 30 anahitaji mwanamke wa kuoa.
Yeye yupo kijijini, hajasoma, mkulima, mfugaji na mfanya biashara.
Kabila lake ni msukuma.
Mahali itatolewa idadi ya ng`ombe 20 wa kutembea.
Basi mwenye nia na hii ofa achangamke.
kuhusu dini yeye hachagui.
Umri 28 - 35
Jina lake Anaitwa Mayunga Ngh`oboko
Kwa mawasiliano zaidi ni PM mimi.