Mwanamke anahitajika

Mwanamke anahitajika

Joined
Dec 10, 2023
Posts
19
Reaction score
13
Mwanamke mwenye nia na hitaji la kuolewa aliye na umri kati ya miaka 38 - 48 anahitajika.

Awe na kazi inayomuingizia kipato na mwenye elimu ya kuanzia Diploma na kuendelea.

Nina kazi, elimu yangu ni ya kati na umri ni kati ya miaka 45 - 50.
 
Mimi
 
Back
Top Bottom