Mwanamke anakuwa na akili pale tu anapokuwa hajazama kwenye mapenzi

Mwanamke anakuwa na akili pale tu anapokuwa hajazama kwenye mapenzi

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee.

Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye mapenzi.

Ni dhahiri kwamba mwanamke ni mwaminifu kwa hisia zake tu.
 
JamiiForums510006485_180x180.jpg
 
ila shida wengi wemeisha jiwekea Dhamira kuwa sito penda tena.

Mwanamke ndie kiumbe pekee anaweza mkataa mwanaume kwasababu anaona ni HB sana na anavutia wengi.
Akamkataa mwanaume wa hivo kuhofia tu kuumizwa (Heartbreak)
 
Hata wanaume pia.

Kuna wanaume ni makatili, roho ngumu ununda mwingi ila kuna mwanamke mmoja tu anamuendesha huyu mwamba hadi kidari po wanacheza😂
 
Wanawake huwa wanapenda sana mkuu, tena wapo wanaopenda bila hata kuwahi kuongeleshwa. Hao huwa wanakuwa kama vichaa kwa mapenzi, hasikii wala haambiliki.
 
Hata wanaume pia.

Kuna wanaume ni makatili, roho ngumu ununda mwingi ila kuna mwanamke mmoja tu anamuendesha huyu mwamba hadi kidari po wanacheza😂
Mwanaume wa hivyo hajawahi kuwa na uzoefu wa mahusiano kabla.
 
Back
Top Bottom