Wanawake huwa wanapenda sana mkuu, tena wapo wanaopenda bila hata kuwahi kuongeleshwa. Hao huwa wanakuwa kama vichaa kwa mapenzi, hasikii wala haambiliki.ila shida wengi wemeisha jiwekea Dhamira kuwa sito penda tena.
Mwanamke ndie kiumbe pekee anaweza mkataa mwanaume kwasababu anaona ni HB sana na anavutia wengi.
Akamkataa mwanaume wa hivo kuhofia tu kuumizwa (Heartbreak)