Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
hatari kwelmaana yake katafute hela zaid hataki lawama kwa ndugu zako et umefilisiwa
Navyoelewa mimi, hii ni dalili ya dharau...Kwangu nafikiri ni masuala ya kumweka town aseeh. May be mwanamke yupo class nyingine halafu chalii ndiyo hivo tena. So manzi anajua hawezi mcare..uwezo hana
Enhee! Hapo hapo, huyo anayekupa hizo mahela akikwambia "You can't handle me" utabaki?yaani huna hela
sio wa elf 50 au laki mbili kwa week
Hahaha! Suala siyo mwili tu, kuna mengi tu, elimu, kiakili, kiukoo utamaduni mbalimbali na kadhalikaLabda dada ana mwili mkubwa sasa huyo bwana ni kimbaumbau
utabaki hayo maneno tuEnhee! Hapo hapo, huyo anayekupa hizo mahela akikwambia "You can't handle me" utabaki?
Sio dharau ni ukweli. Kakuchana. Napenda wanawake wanaenda straight sio kuzungushana [emoji23][emoji23][emoji23]Navyoelewa mimi, hii ni dalili ya dharau...
Ndo hapo sasa!!shida yake umjibu kuwa unaweza kum-handle alafu akuombe pesa.
Hii ni biashara kabisaaSio dharau ni ukweli. Kakuchana. Napenda wanawake wanaenda straight sio kuzungushana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh utumwa huoHela mkuu ndo itamuweza