Mwanamke anamwambia hivi, "you can't handle me"

Mwanamke anamwambia hivi, "you can't handle me"

Jiamini. Akikupa nafasi fanya kweli.
 
Kwangu nafikiri ni masuala ya kumweka town aseeh. May be mwanamke yupo class nyingine halafu chalii ndiyo hivo tena. So manzi anajua hawezi mcare..uwezo hana
 
Achana nae.

Tafuta mwingine wa saizi yako.
 
maana yake katafute hela zaid hataki lawama kwa ndugu zako et umefilisiwa
 
bitch games ana play hard to get ...we mchore tu upuuzi wake akileta k . piga pumb* hlf mwache amuonyeshe dharau za wazi wazi no woman can handle tht trick...labda malaya kwelikweli...
 
Kwangu nafikiri ni masuala ya kumweka town aseeh. May be mwanamke yupo class nyingine halafu chalii ndiyo hivo tena. So manzi anajua hawezi mcare..uwezo hana
Navyoelewa mimi, hii ni dalili ya dharau...
 
Back
Top Bottom