Mwanamke ananiona mimi eti ni mjeuri!

Mwanamke ananiona mimi eti ni mjeuri!

I see, utume pesa, tena na ya kutolea[emoji1787]. Halafu uulize pia kama ameipata? Wakati anajua ameipata. Huyu anataka kukugeuza manamba/mhudumu wake au la kuna kamzizi anataka kujua ikiwa kanafanya kazi.

Jibu zuri sana la upendo na uungwana

Hapa haujawa tofauti na NETANYAHU wa Israel kabisa daaah. Yaani hasara ina maana hata mtumiwaji ni hasara[emoji41][emoji41][emoji41].

Siku akirudia kukwambia huo upuuzi nitag. Real men ni wachache. Hongera
Wanaujinga nwingi sana hawa watu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu bana.

Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.

Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.

Nimemjibu kama ifuatavyo.

Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.

Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.

Nimemaliza.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Dah! Kweli jeuri aiseee!!!
 
Akisusa au hakusema asante kwa kiasi nilichomtumia akiomba hela siku nyingine sijibu msg wala kupokea simu
 
Ni hivi hapo mmeombwa wengi hivyo hajui aloituma ni nani.. Kwasababu umetuma ki wakala. Ungetuma wewe kwa namba yako angekuwa na uhakika ni wewe .

Mbona kama yaonekana unatoroka vikao , mbona hilo swala tulijadili sanaa broo
Kitaalamu huyo ke kaona asijetoa ahsante bila kutaarifiwa asijewachanganya.

Mtu wa hivyo hastahili hata mia yake.
 
Habari zenu bana.

Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.

Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.

Nimemjibu kama ifuatavyo.

Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.

Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.

Nimemaliza.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ungerudisha muamala,Kwenye kikao ulikuwepo kweli
 
Kitu ninachojiuliza Hadi Leo, uhalali wa wanawake kujiona wanastahili kuhudumiwa na kupewa Hela ili Hali sio Mke wanautoa wapi?
 
Kitu ninachojiuliza Hadi Leo, uhalali wa wanawake kujiona wanastahili kuhudumiwa na kupewa Hela ili Hali sio Mke wanautoa wapi?
Hata kama akiwa mke, huo uhalali wa kufanya mwanaume mtumwa wake unatoka wapi ikiwa wote ni watu wazima. Kwani lengo la kuwa na mke ni kumuhudimia kama mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom