Mwanamke ananiona mimi eti ni mjeuri!

Wanaujinga nwingi sana hawa watu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Dah! Kweli jeuri aiseee!!!
 
Akisusa au hakusema asante kwa kiasi nilichomtumia akiomba hela siku nyingine sijibu msg wala kupokea simu
 
Ni hivi hapo mmeombwa wengi hivyo hajui aloituma ni nani.. Kwasababu umetuma ki wakala. Ungetuma wewe kwa namba yako angekuwa na uhakika ni wewe .


Mbona kama yaonekana unatoroka vikao , mbona hilo swala tulijadili sanaa broo
Kitaalamu huyo ke kaona asijetoa ahsante bila kutaarifiwa asijewachanganya.

Mtu wa hivyo hastahili hata mia yake.
 
Ungerudisha muamala,Kwenye kikao ulikuwepo kweli
 
Kitu ninachojiuliza Hadi Leo, uhalali wa wanawake kujiona wanastahili kuhudumiwa na kupewa Hela ili Hali sio Mke wanautoa wapi?
 
Kitu ninachojiuliza Hadi Leo, uhalali wa wanawake kujiona wanastahili kuhudumiwa na kupewa Hela ili Hali sio Mke wanautoa wapi?
Hata kama akiwa mke, huo uhalali wa kufanya mwanaume mtumwa wake unatoka wapi ikiwa wote ni watu wazima. Kwani lengo la kuwa na mke ni kumuhudimia kama mtoto mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ