Kwa mfano hivi ambavyo hajibu SMS zangu inaweza kuwa hanihitajiNenda pale na uso wa mbuzi halaf muulize kwa nia njema kama haoneshi ushirikiano jua hakuihitaji ,muulize nani kamlipia kodi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uende kwake au fatilia anaeenda kwakeKwa mfano hivi ambavyo hajibu SMS zangu inaweza kuwa hanihitaji
muosha rungu
Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
Asa kwao wanajua anaishije wakati kapanga halaf ana kazi?Labda nikaulize majirani maana msiri sana,Mimi mwenyewe kwake ninaishiaga nje na aliwaambia mm ndugu yake,kwao wadini sana anaogomba kuambiwa anazini
muosha rungu
Alipigana na dadake basi akasusa na kuondoka kwao,first time alikaa kwa ndugu yao kidini,wakakofishana akaja kwangu usiku nikakaa nae wik 2,alikuwa anajificha sana yaani namletea chakula ndani anakojoa kwenye besen namwaga,jioni anatoka kwa siri anaenda kwenye dua,anarudi saa nne usiku,baada ya wiki 2 akasema nimpangie chumba,nikamnunulia vitu vya kuanzia maisha.akapanga.ndo hivyo

Nipe mbinu za kumsahau na Ku move onMkuu karne hii bado unahangaika na mwanamke ambaye hakutaki. Hawa viumbe wameumbwa ki ajabu sana.
Wewe unajibana kumhudumia ili asipate tamaa, pesa unayompya anaenda kumpa mwanaume mwingine ili amkubali
Wewe unalipia chumb, fanicha na kilq kitu, mshenzi flani anakuja kuzitumia bila shida,
Unamnunulia chupi nzuri then mwanaume mwingine anamvua kirahisirahisi tu
Unambembeleza akupe kipochi cha manyoya and anadengua, ila kuna boya flani anapelekewa kwa kubembelezwa.
So usiwekeze kwa mwwnamke aisee, hata bibilia imesema usimpe mwanamke moyo wako wote asije akakutenda vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupuMkuu karne hii bado unahangaika na mwanamke ambaye hakutaki. Hawa viumbe wameumbwa ki ajabu sana.
Wewe unajibana kumhudumia ili asipate tamaa, pesa unayompya anaenda kumpa mwanaume mwingine ili amkubali
Wewe unalipia chumb, fanicha na kilq kitu, mshenzi flani anakuja kuzitumia bila shida,
Unamnunulia chupi nzuri then mwanaume mwingine anamvua kirahisirahisi tu
Unambembeleza akupe kipochi cha manyoya and anadengua, ila kuna boya flani anapelekewa kwa kubembelezwa.
So usiwekeze kwa mwwnamke aisee, hata bibilia imesema usimpe mwanamke moyo wako wote asije akakutenda vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mwingine, mbona wapo wengi tu mkuu, mi kuachwa nishazoea huwa sioni shida wala huwa sileti ugomviNipe mbinu za kumsahau na Ku move on
muosha rungu
Ni mtu wa swala tano wale wafia dini.Endelea kuosha Rungu na sabuni mkuu !!
Ivi unadhan mwanamke uwe unamlipia kodi wewe tu, unahisi atakua na mwanaume mmoja ilihali anamahitaji kibao zaidi ya kodi?? .
Embu tuanzie hapa...pamoja nakumlipia, Uliwah kulala kwake na kuamkia kwake ??