Mwanamke ananisumbua moyo wangu:msaada

Mwanamke ananisumbua moyo wangu:msaada

Write your reply...kweli life sio fair yan kodi unalipa wew afu unaishia kupewa stuli nje ??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona unajichosha apo tu achana nae alishakufanya mtunwa wake
 
Write your reply...kweli life sio fair yan kodi unalipa wew afu unaishia kupewa stuli nje ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona unajichosha apo tu achana nae alishakufanya mtunwa wake
Eti anasema anahofia majirani watakaomuona Malaya,

muosha rungu
 
Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo

Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu

Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa

Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi

Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.

Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda

muosha rungu
DG sepetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Unakoosha runguuu kumeshaosha kwungine
 
Alipigana na dadake basi akasusa na kuondoka kwao,first time alikaa kwa ndugu yao kidini,wakakofishana akaja kwangu usiku nikakaa nae wik 2,alikuwa anajificha sana yaani namletea chakula ndani anakojoa kwenye besen namwaga,jioni anatoka kwa siri anaenda kwenye dua,anarudi saa nne usiku,baada ya wiki 2 akasema nimpangie chumba,nikamnunulia vitu vya kuanzia maisha.akapanga.ndo hivyo

muosha rungu
Hukumla alivyokuja hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom