Mwanamke ananisumbua moyo wangu:msaada

Maana ujue mpaka unampata wewe kuna mjingamjinga flani naye aliachwa, na kama yeye aliachwa basi ulitakiwa kujua ipo siku na wewe utaachwa. So ulitakiwa kujiandaa kisaikolojia from day one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimbikiri 2006 tukiwa sekondari muda wote huo tumekuwa na mipango ya kuoana...

muosha rungu
 
Ni mtu wa swala tano wale wafia dini.
Hata kwake naishiaga nje kwa kupewa stuli ya kukalia

muosha rungu
Hapana mwanamke ni mwanamke ,hata awe swala saba atabak kua ivo.

Iko ni kithibitisho tosha kua Hauko pekeako toka zamani .

Na demu alikua anaogopa kujichoresha kwa majiran kua anaingiza sana mabwana.

Amin nakuambia, ukifatilia sana utajua ukweli .
 
Hilo labda alikuwa analifanya mbali yeye anaogopa kuambiwa anazini

muosha rungu
 
Hilo labda alikuwa analifanya mbali yeye anaogopa kuambiwa anazini

muosha rungu
Sawa sawa nyumba na mazingira ya nyumba yanayomzunguka ,unahisi yanatosha kukuthibitishia kua Mbali na kukuheshim bado macho ya watu nimakali kwake??

Cheki ikiwa uyo demu ulikua unamgonga kwako na kwingineko basi ujue hana ugumu wowote wa mpaka ashindwe kukuingiza ndani mwake unless mazingira ya nyumba nzima yawe ni swala tano sana.

Aibu na mizenguo ya wanawake huwa ni ktk suala la chupi lkn ukishaitoa hiyo aibu basi hapana aibu ingine tena.

Ila inawezekana ikawa ni mapozi, lkn sasa ndo akununie?? Asijib wala kupokea meseji zako??na kwahuo muda ?? Je ndo mapenzi ya kweli hayo??
 
Labda amekasirika nilivyogoma kulipa kodi hatua za mwisho baada ya kuona hataki nishike simu yake au ikiita anaongelea mbali

muosha rungu
 
Labda amekasirika nilivyogoma kulipa kodi hatua za mwisho baada ya kuona hataki nishike simu yake au ikiita anaongelea mbali

muosha rungu
Aahhh sasa jibu unalo.... Namm nakazia ukiona demu wako simu yake anaifanya kituo chapolisi kwako au calls kupokea ni mbali mpaka atoke nje .

Naishia hapa.... Na kalipa mwenyewe au kwa msaada wa jamaa ili kukuonyesha we kua bado anaweza nje yako.

BADILIKO LOLOTE LISOKUA LA KAWAIDA KWA MWANAMKE WAKO LINA SABABU !!!.

SOMA NYAKATI MKUU..hawa madem saaingine hupasw kua mpole na kufuata anachosema , siunaona sasa katengeneza mazingira magumu kabisaaa yawee kuingia ndan mwake hata kama utamuweka sawa.
 
Thanks bro hakika umenijenga ngoja nikae kimya nafsi Yangu iwe huru

muosha rungu
 
Thanks bro hakika umenijenga ngoja nikae kimya nafsi Yangu iwe huru

muosha rungu
Yes utaendelea kujitumisha mimeseji na micalls mpaka lini Man???

Check , mwanamke humpenda sana yule mwanaume ambaye anamfanya awe Uncertain if he love her or not.
 
Kweli wewe majanga, yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes utaendelea kujitumisha mimeseji na micalls mpaka lini Man???

Check , mwanamke humpenda sana yule mwanaume ambaye anamfanya awe Uncertain if he love her or not.
Oky till when then

muosha rungu
 
Ukisusa sie twala!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…