Basi. Ukiwa mbishi, mapenzi kwa huyo mwanamke hupati. Ila kutubu ni jambo rahisi zaidi kama bado unampendaSitatubu kwa kosa lipi kama mapenz kuisha na yaishe
muosha rungu
Eti anasema anahofia majirani watakaomuona Malaya,Write your reply...kweli life sio fair yan kodi unalipa wew afu unaishia kupewa stuli nje ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona unajichosha apo tu achana nae alishakufanya mtunwa wake
NitajitahidiUambie moyo ukomae na kazi ya kusukuma damu hayo ya mapenzi si jukumu lake
Sent using Jamii Forums mobile app
sijakucheka bhana loooh ila nimecheka tu mieSawa kwa kunicheka
muosha rungu
DG sepetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Unakoosha runguuu kumeshaosha kwungineKuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
Hukumla alivyokuja hapo?Alipigana na dadake basi akasusa na kuondoka kwao,first time alikaa kwa ndugu yao kidini,wakakofishana akaja kwangu usiku nikakaa nae wik 2,alikuwa anajificha sana yaani namletea chakula ndani anakojoa kwenye besen namwaga,jioni anatoka kwa siri anaenda kwenye dua,anarudi saa nne usiku,baada ya wiki 2 akasema nimpangie chumba,nikamnunulia vitu vya kuanzia maisha.akapanga.ndo hivyo
muosha rungu
Mmmh mbona kashindwa kuelewana na wenzie kama kashika dini kweli unafiki huoNi mtu wa swala tano wale wafia dini.
Hata kwake naishiaga nje kwa kupewa stuli ya kukalia
muosha rungu
Nimetafuta mwenywe[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda pale na uso wa mbuzi halaf muulize kwa nia njema kama haoneshi ushirikiano jua hakuihitaji ,muulize nani kamlipia kodi?
Sent using Jamii Forums mobile app