BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Siku moja nilikua chuo kikuu fulani na wakapita wadada wawili na jamaa zangu wakadai ni mtu na mpenzi wake. Nilishangaa kuona wanawake nao wanapendana wao kwa wao kama nchi za Ulaya na Marekani. Tamaduni zetu zimeingiliwa sana, na hao wadada ni wazuri jamani.
Swali Langu wadau ni kuwa, ina maana wanaume hawawatoshelezi ama kuna tatizo la kibaiologia katika miili yao?
Swali Langu wadau ni kuwa, ina maana wanaume hawawatoshelezi ama kuna tatizo la kibaiologia katika miili yao?