Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Hiyo ipo sana hapa TZ, kuna jamaa yangu yalimkuta hayo. Kachukua demu mkali akawa anampa kilaji. Baada ya muda mfupi akaja demu mwingine akamtahadharisha kuwa alie nae ni demu wake hivyo asiwe na wazo la kuondoka nae.

Jamaa alikasirika na kuondoka japo alichukua namba ya huyo demu.

Siku nyingine akamtafuta akaenda nae geto, lakini hakuweza ku 'do' nae, alimkatalia kwa visingizio lukuki.
Hivyo hayo mambo yapo hapa bongo na hao hawana hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mwanamme
 
Kama mbo hakuna na raha inakuja kwa mda mfupi tu ambayo hata wewe huwezi.
unadhani mbegu zingekua zinapatikana kama maji ya chumvi ingeshindikana kuweka hiyo mimba?

rubii unatisha.....kama kubwa la maadui.

Duh!! Nimekuogopa aisee LOL.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom