rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Alietoa post amekosea kitu kimoja , asingetakiwa aseme eti m nimeshangaa na jinsi walivyo wazuri, ni kwamba hujaona mashoga kweny pitapita zako, watu n heshim zao n misuti na mi prado yaoo kumbe mashogaa
Mungu hakuumba Adam na Alex Wala Asha na Amina , ila Adam na Hawa hizo nyingn exchanges ni za binadamu tuu wameziongeza, we unawashangaa wakina rubi? Hujui hata mashoga wapo hum n vile hajajitokeza
, look all sides uone dunia inavyotelezea korongoni
Mwambie huyooo