Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

hii stori yako imenkumbusha dem mmoja muhimbili kazaliwa na map.u.mbu
 
Na wengi wao huanzia huku! Kuna hoja kuwa tatizo ni kutoridhishwa na wanaume wao ...hii huwa naiona ina mchango mdogo sana...!

Wengi wao hufanya kwakuwa ndio walivyo zoea na wanapenda! Mtu aliyezoea mwanaume ni vigumu kugeuka kuwa lesbian lakini mtu aliye zoea kufanya haya mambo kamwe awezi kuridhika lazima ataendelea tuu ata akipata mwanaume!

Mada za namna hii huamasisha zaidi kuliko kuelimisha..

kumbe ukitulia hua unaandika vinavyoeleweka.
big up.
 
Kama mbo hakuna na raha inakuja kwa mda mfupi tu ambayo hata wewe huwezi.
unadhani mbegu zingekua zinapatikana kama maji ya chumvi ingeshindikana kuweka hiyo mimba?

Mmhh!!! Ushaonjaga ama nene?
 
Back
Top Bottom