Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Wacha waendelee kukoboana mpaka vitobo vizibe, ila duniani hakuna substitute ya muhogo aisee.
Niache kula raha nikapakane majasho na manzi!
Pyuuuu

Wee naskia ukijaribu siku moja hutokaa uache tena! Kuna jamaa alikuwa na mke akashawishika akiwa ofisi kwao kumbe kuna mdada nae ni michezo yake akawa alamlia mingo yule dada kafanikiwa kumwingiza kingi ndoa ya yule dada ikavunjika kwa mautamu aliyokuwa akipewa!
 
watu wamepotea sana, siku hizi inaonekana kawaida sana' IlA UJINGA TU
 
ni tamu na ukianza huachi pia haina kero ya kuwahi na kumuacha mwenzio akiwa bado anahitaji
 
Km mashoga wanahaki zao basi usishangae lesbian na Tz haijapitishwa hiyo sheria nimeshangaa unavyokubli eti mashog wana haki zao , means ukiobwa game unatoa

It is a matter of time... Hiyo sheria itapitishwa tu hapa tz hata Kama ni miaka 100 ijayo.
Serikali inasapoti ushoga kwa chini chini. Ongezeko la mashoga na wasagaji inatisha sana.
 
mh rubi ushatest sana nini.....kuna utamu tofauti na ambao kama mi kidume natoa dawa kwa binti
 
Km mashoga wanahaki zao basi usishangae lesbian na Tz haijapitishwa hiyo sheria nimeshangaa unavyokubli eti mashog wana haki zao , means ukiobwa game unatoa

Niombe Game Me Nitakupa Tu
 
Siku Moja Nilikua Chuo Kikuu Fulani,na Wakapita Wadada Wawili Na Jamaa Zangu Wakadai Ni Mtu Na Mpenzi Wake.Nilishangaa Kuona Wanawake Nao Wanapendana Wao Kwa Wao Kama Nchi Za Ulaya Na Marekani.Tamaduni Zetu Zimeingiliwa Sana.Na Hao Wadada Ni Wazuri Jamani.Swali Langu Wadau Ni Kua,ina Mana Wanaume Hawawatoshelezi Ama Kuna Tatizo La Kibailogia Katika Miili Yao??
Simple; wanume hawawatoshelezi
 
Madhara ya shule za bwenu za jinsia moja. Wameanzia mbali hao.
Na wengi wao huanzia huku! Kuna hoja kuwa tatizo ni kutoridhishwa na wanaume wao ...hii huwa naiona ina mchango mdogo sana...!

Wengi wao hufanya kwakuwa ndio walivyo zoea na wanapenda! Mtu aliyezoea mwanaume ni vigumu kugeuka kuwa lesbian lakini mtu aliye zoea kufanya haya mambo kamwe awezi kuridhika lazima ataendelea tuu ata akipata mwanaume!

Mada za namna hii huamasisha zaidi kuliko kuelimisha..
 
Ngoja Wajaribu Watatupa Matokeo
 
Back
Top Bottom