happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Vipi na ule upande wa pili wa mashoga au wanaume wasiotamani wanawake, na wao wamezaliwa na kasoro naturally?
Naona umekuja kufufua uzi!
Si kila tendo nia ni kubeba mimba. Mimba itabebwa ikihitajikaraha ya mwanamke ni nini kama si kubeba mimba?
tamaduni nyingine ni laana kwa binadamu!
Wewe dada wewee Mungu anakuonaLol wanaume mlisema tuwanyime mautamu hadi ndoa sasa wacha tufurahishane
Lkn hata na hivyo nitamu sana
Hahahah!dobhalekele bhoi bhagwimana!labda watakuwa wanaenjoy kwa sababu sidhani kama unaweza ku-keep hold na kitu hunufaiki nacho au hufurahii
Sr Dr r
Mapenzi yao ni ya starehe na furaha sio kupeana mimbamuwe mnapeana na mimba kabisa
Inategemeana mtu na mtuSiku moja nilikua chuo kikuu fulani na wakapita wadada wawili na jamaa zangu wakadai ni mtu na mpenzi wake. Nilishangaa kuona wanawake nao wanapendana wao kwa wao kama nchi za Ulaya na Marekani. Tamaduni zetu zimeingiliwa sana, na hao wadada ni wazuri jamani.
Swali Langu wadau ni kuwa, ina maana wanaume hawawatoshelezi ama kuna tatizo la kibaiologia katika miili yao?