Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Nadhani inatokana na aina ya mapenzi waliyoanza kujihusisha nayo ujanani mwanzo kabisa
hata hivyo nadhani ni rahisi mwanamke wa aina hiyo kuwa na mwanaume kuliko jinsia ya pili
Na naona suala la lesbianism linavumilika somehow kwenye jamii, yaani lina uafadhali fulani. Unlike lile la jinsia ya pili (ushoga).
One of my comrades, back in days, aliwahi kuwa na demu wake lesbo... something like bisexual... Demu alikuwa anagegedwa na jamaa, ila pia akaomba ruhusa ya kuwa anasagana. Jamaa alimruhusu. Demu alikuwa mboga saba wa kishua.
-Kaveli-