Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

Naomba kuuliza, katika kugegedana inakuaje? sielewi huo utamu unapatikanaje?
1) Chumvini ni kama mwanafunzi kuvaa uniform
2) Hawana premachua eja
....... wadau wataongezea. Kwani hujasoma girls tupu?
 
Siku moja nilikua chuo kikuu fulani na wakapita wadada wawili na jamaa zangu wakadai ni mtu na mpenzi wake.Nilishangaa kuona wanawake nao wanapendana wao kwa wao kama nchi za Ulaya na Marekani.Tamaduni zetu zimeingiliwa sana, na hao wadada ni wazuri jamani.

Swali Langu wadau ni kuwa, ina maana wanaume hawawatoshelezi ama kuna tatizo la kibaiologia katika miili yao?
WAPO WENGI NILIWA HACK
 
Back
Top Bottom