feis buku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 2,341
- 677
aemen!! bwana kakuokoa!Nilishaacha kupanic zamani sana mama,usihofu nilishasahau kupanic hapa amani imejaa mpaka inamwagikia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aemen!! bwana kakuokoa!Nilishaacha kupanic zamani sana mama,usihofu nilishasahau kupanic hapa amani imejaa mpaka inamwagikia!
Hujanikwaza mpnz,mamito ni mm mwaya,unajua kuna watu humu ndani wameniboa saana,nimeamua kuwa kauzu nowdayz,sory my love kama nitakukwaza!
thenK u my dear!!! Ubarikiwe kwa kunitia moyo mchana wa leo,ungekua karibu yangu ningekupiga lunch ya nguvy!! Thenk u!!!!hujanikwaza mpnz,ila cjawahi kuona una hacra hivi mamito,hawa wapotezee tuu maana huwajui hawakujui ni kibodi tu zinasulubiwa,ukiona mtu anazingua potezea endelea na maisha mpnz tena kwa raha zako.