Mwanamke anatafutwa

Mwanamke anatafutwa

Nyorji

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
238
Reaction score
98
Natafuta mwanamke wa kuoa, sifa ya kwanza awe mjaluo, Umri 22.'-26. Mwenye nidhamu na atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi.
Aliye tayari tuwasiliane.
 
Natafuta mwana mke wa kuoa sifa ya kwanza awe mjaluo. Umri 22.'-26. Mwenye nithamu .. Atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi awasiliane.
Hapo kwenye nyekundu, "nithamu" ndo nini??
Kwenye bluu, mbona hiyo imekaa kibaguzi baguzi hivi???
Halafu umeandika kama unakimbizwa hivi........ Ni vyema ungetulia na kuandika vizuri hii thread yako, na ungeandika maelezo mafupi kuhusu wewe mwenyewe, ungesound more serious,
 
Utajuaje ananidhamu,na nithamu unayotaka wewe ni ipi maana nidhamu ni very subjective and very situatunal
 
kama upo dar nenda corner bar wapo wengi sana kazi ni kwako kuchagua
 
Hao wenye NITHAMU,unaowatafuta wewe kama wapo humu JF basi wameshaolewa,kajaribu kule facebook,wengi hawajaolewa kule.
 
Natafuta mwana mke wa kuoa sifa ya kwanza awe mjaluo. Umri 22.'-26. Mwenye nithamu .. Atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi awasiliane.

HEE nikajua amepotea
 
1. An Jaluo
2. An gi iga pierariyo gabich
3. Atieko form four
4. An Japuonj primary

Lakini sikutaki kwa sababu hauonyeshi kama uko na nithamu!
 
Natafuta mwana mke wa kuoa sifa ya kwanza awe mjaluo. Umri 22.'-26. Mwenye nithamu .. Atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi awasiliane.

Wewe ni jaluo wa wapi, Kisumu au Mara? Kama unataka kabila lako si bora uende huko nyumbani kwenu.
 
You can't be serious ,weka nawewe sifa zako ili unayetafuta nae akujue!
 
image16.jpg
image21.jpg
 
omera hii nawesa faa wewe. hii natoka jirani na odinga kisumu.
 
Attachments

  • DUDE.jpg
    DUDE.jpg
    51.5 KB · Views: 64
mkuu umekosa makanisani maharusin maofisin vyuon hebu npm yupo nkupe email yake umtafute ila yupo nairobi
 
Omera mke atafutwi kama kiwanja.Kama huwezi kutafuta mwenywe waombe ndugu zako wakutafutie au wahi kwenu musoma kuna yule ng'ariba anayesikiliwa na polisi mwekee mdhama ili akusaidie kuchagua kwenye wale 200 wanaoandamana kutaka kukeketwa.
 
Natafuta mwanamke wa kuoa, sifa ya kwanza awe mjaluo, Umri 22.'-26. Mwenye nidhamu na atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi.
Aliye tayari tuwasiliane.

kaka je yule uliyemtoa bilicanas ukamgaramikia mambo mengiii halafu baadae akakupiga chini vipi hajarudi?
 
Back
Top Bottom